Mkuu kwanza nikushukuru kwa uzi huu nina imani nitapata ninachokitaka kwa muda mrefu. Ninaitafuta sana nyimbo moja ameimba TX Moshi inaitwa Ashbai.
 
nautafuta wimbo unaitwa 'fanta' - papii kocha
'msela' - mawingu band
'mazoea Yananikondesha' - mzinga group
 
Wimbo flani hiv wa Rah P enzi zile bongo fleva.....sikumbuki jina ila nakumbuka baadhi ya maneno yke " napenda mpz napenda ooooh nambie kama kweli utaniweza"
 
Mwenye wimbo wa matata ya mwasi ya Franco plz anisaidie
 
Huu apa jina jingine unaitwa i'm not a casanova mzee.
Kwenye hiyo LP (Vinyl):

Chicco Meets Pat Shange - I'm Not Cassanova nyimbo ni hizi:

1. I'm Not Cassanova
2. No Sugar Tonight
3. We Can Dance
4. It's Summer
 
1.Makongoro-Dereva kalewa Pombe
2.Makongoro-Afya bora Kuleni kuku mayai nyama Samaki maziwa.
3.Unique sisters ft mac d-Bounce
4.GK ft Fina Mango-Mama
5.Soggy ft unique sisters- I luv u 2.

[emoji115]Hakuna hata mmoja mlioweka.
Huo "mama" wa GK na mimi nautafuta sana...ile original version.
 
Huu wimbo wa dini nautafuta mwaka wa nne sasa kwenye chorus una maneno yanayosema....ni wewe bwana wastahili sifa...ni wewe bwana nani kama wewe...ni wewe bwana wastahili sifa...
Yaani nimeutafuta had nimechoka! Nina kipande cha audio yake ila kinagoma ku upload!
 
Mkuu.. Huu hapa, but nili record from Redio.. Katambo, ila uko vizuri sana
JE KIONGOZI, NAWEZA PATA WIMBO FLANI UNAOSEMA,,, PARAPANDA IKILIA ULIMWENGU UTAMWONAAA MWANA KONDOO AKISHUKA NA UTUKUFUU, AKIBAGUA KONDOO NA MBUZI. Uliimbwa na Dada MKENYA anaitwa Esta. Ila sio yule Esta waome. Pia asante, mkuuu unatusaidia sana. Mungu akubariki sana, maana tunapata vitu adimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…