PIA NAOMBA MWENYE WIMBO, WA DADA NEEMA JECONIA CHAVALA,, hata kama jaribu lako liwekubwaaa lifananishwe na mlima Kilimanjaro.
 
Sofia remix by Ben Paul,,beat yake imechangamka flan hv,,nshaisaka sna online bila mafanikio
 
Kuna wimbo unaimbwa - iyeelele mama iyele mama wee. Kama kuna memba ataupata,asante
 

Huu hapa Kiongozi

 
Mwinye nyimbo hizi
1.zola d ft q chillah jana sio leo
2.b.o.b micharazo mwanzo mwisho
3.proof tee ft jose mtambo umeondoka naomba mwenye nazo anitumie maana nimezitafuta bila mafanikio
 
Wimbo flan ambao umeibwa kuisifia Zanzibar na aliyeimba cjajua km mzungu au nani,

mistari ya chorus inaimbwa hvi
"beautiful part of Africa, Zanzibar ooooh Zanzibar, Zanzibar ooooh Zanzibar


Natamani Sana niijue BT Ni nyimbo ya muda kidogo
 
Wakuu kama kuna mtu ana tenzi ya rohoni wimbi unaitwa TWASOMA NI NJEMA SANA
 
Kuna wimbo unaimba " sina hata tubda moja...." naona mmeshindwa kunipatia
 
Is over wa Catherine.naitafuta saana hii nyimbo lakn sinawahi kuipata
 
nautafuta wimbo unaitwa 'fanta' - papii kocha
'msela' - mawingu band
'mazoea Yananikondesha' - mzinga group
Mkuu hapo kwenye mazoea yananikondesha kula tano nnao huo wimbo naupenda sana!
 
Wakuu kuna wimbo umeimbwa na mbilia bel na tabu ley mwisho wanaimba embulukwe senga embulukwe senga jina siufaham wanaimba kama wanapokezana mashairi hiv mwenye nao tafadhal
 
Nautafuta wimbo wa fm academia kuna sehemu wanaimba shelina wangu nakuimbia leo uje tucheze machozi inatoka kama mvua mm jimmy chokolete
 
DAH!! kwakweli huu uzi ni mzuri ajabu.

Mkuu Neema Jeconia Chavala,, Hata kama jaribu lako liwe kubwaaa, lifananishwe na mlima Kilimanjaro
 
Nautafuta wimbo flani iv wa ngoma ya asili ambao hupiga mara kabla na baada ya kipindi kiitwacho 'jicho' cha tbc Taifa...
Kipindi hiki huzungumzia mila na desturi za makabila mbalimbali hapa Tanzania..

siufahamu jina.....kama sikosei huanza hiv

''ila maunde ya mama mwiiganyo...oooh! mwiganyo mwiganyo''

Nisaidien wadau
 
Natafuta wimbo wa Dotnata wa fm academia.na mnyonge mnyongeni wa TOT plus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…