Ule wimbo wa TID wa Nyota yangu sasa original yake ntaipataje Hata jina2 niiperuzi sahivi .............
 
Kwa wapenzi wa Hiphop, kuna zile dakika kumi za maangamizi planet bongo, sasa siku alipokuwa anachana Boshoo Ninja, lile beat aliloanza nalo kuchana aisee ndio naulizia ni la wimbo gani?
kwa msaada waweza pitia youtube ulisikilize halafu unisaidie hapa, nahitaji kuupata wimbo wa hilo beat
 
kwa hiyo hakuna alinayeufahamu huu wimbo au vipi
 
Nyimbaa iziii

Pengo - waswahili
Malaika - GK ft TID
Hii Leo - GK ft EAST coast
Villegiature - EPess Bass ft Extra Music album ya ETAR Manjor
 
shukrani sana mkuu.....
alaf kuna nyimbo flan ya wa south afrika jina nimelisahau ila kuna kionjo kina kuwa kama kinasema "sakimonaa salimonaa" pia kuna sehem anasema "i work hard"..... ni kwaito flan hivi ya ki_south
Wameimba Dalom Kids nymbo inaitwa IZINDUNDUMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…