Huu wimbo wa Marijani Rajabu, Unaitwa Jojina. jaribu Youtube.wimbo mmoja melody yake ipo ivi * Siku uliyoondoka uliniacha nalia na majozi oohoo sakinaa, sipati usingz ..........* inaendelea mbelee
Beatrice, ni wimbo wa Mass Media, huu wimbo upo hapa, rudi kurasa za nyuma, utaupata.Naomba uwe mpangaji wa kudumu ndani ya moyo wangu. By Mass Media
Asantee sana Mkuu.. nimeupataHuu wimbo wa Marijani Rajabu, Unaitwa Jojina. jaribu Youtube.
Ukiupata naomba nitag tafadhaliTazama ramani by jitegemee, huu wimbo nausaka bila mafanikio
Wiz khalifa unaitwa see you againNatafuta wimbo flani hvi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia
Siyo 'Khululeka' hyo? Ijaribu kuidownload mi nimeshindwa kuipakia hapaKuna wimbo wa lucky dube anaimba kizulu kama wa kanisani ivi yupo na hakina mama.mwanzo wa wimbo dube yeye anaongea kama sekunde 50 hivi sema sijui jina lake nimeutafuta sana aisee
"I am gonna be allright" JL feat NasKuna Video Jennifer Lopez, Inawezeka ipo Youtube, ila kwakua, sijui wimbo unaitwaje, inabidi niombe msaada hapa, kama kuna mwenye kuukumbuka, na kuujua.
video yenyewe ni ya siku nyingi, Jennifer, anaonekana anapita mbele ya Babu mmoja, alafu Babu anaonyesha sura, ya kusifia mzigo wa Jennifer. Maana kipindi hicho Jennifer, alikua amefungasha hasa, ulinganisha na wanawake wengi wa Kimarekani. Naomba mwenye kikumbuka hii video aniwekee tafadhari, inawezekana pia sijaeleweka.
nautafuta wimbo unaitwa 'fanta' - papii kocha
'msela' - mawingu band
'mazoea Yananikondesha' - mzinga group