Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Habari wapendwa!
Kuna wimbo nimekuwa nikiutafuta sana, sina hakika na jina lake ila una mashairi yanasema
" Rhoda mpenzi wangu Rhoda, umasikini sikuomba kwa Mungu, Umasikini wala si kilema, Wakusema nitakufa nacho, Siku moja nitakua tajiri, Ntanunua gari la benzi, kama lile nililo ona, Mlangoni kwa kina Rhoda" Nimejaribu utafuta huu wimbo youtube bila mafanikio, mwenye nao akinisaidia kuuweka hapa atakua ametenda vyema.
 
Kuna wimbo wa lucky dube anaimba kizulu kama wa kanisani ivi yupo na hakina mama.mwanzo wa wimbo dube yeye anaongea kama sekunde 50 hivi sema sijui jina lake nimeutafuta sana aisee
Siyo 'Khululeka' hyo? Ijaribu kuidownload mi nimeshindwa kuipakia hapa
 
Kuna Video Jennifer Lopez, Inawezeka ipo Youtube, ila kwakua, sijui wimbo unaitwaje, inabidi niombe msaada hapa, kama kuna mwenye kuukumbuka, na kuujua.
video yenyewe ni ya siku nyingi, Jennifer, anaonekana anapita mbele ya Babu mmoja, alafu Babu anaonyesha sura, ya kusifia mzigo wa Jennifer. Maana kipindi hicho Jennifer, alikua amefungasha hasa, ulinganisha na wanawake wengi wa Kimarekani. Naomba mwenye kikumbuka hii video aniwekee tafadhari, inawezekana pia sijaeleweka.
"I am gonna be allright" JL feat Nas
 
Yote yana mwisho Remmy Ongala super matimila, nitaupata wapi?
 
Wangwana Wangwana [emoji445][emoji445]

Naisi ni Wanaija Walioimba Nausikiaga sana Kwenye ViFunny Video Clips
 
Long Distance Love na Picture of the Woman I love, hizi zilikuwa katika album ya "Broken Hearts vol. 27" Ntashukuru mno
 
mwenye wimbo Wa Kali p nahc kama kashilikishwa....
unaimbwa.........
"sijapata kuona mrembo kama wee
mooyoni ulienivutavuta
natamani kuwa nawe
nakuomba unielewe beibi"
mwenye nao please nisaidie
 
pia mwenye wimbo Wa ......
"Tanzania you are a beautiful country
Tanzania you are my country
in the woord"
wimbo uliimbwa na watoto flan wa kike watatu wanaisifia Tz,
 
Back
Top Bottom