wakutunga
Member
- Jul 31, 2017
- 42
- 34
Asante jombaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante jombaaa
Natafuta nyimbo za kwaya walimba " na lingine lilianguka kwenye udongo mzuri, likazaa moja thelathini"
Wakuu nipeni nyimbo za Emanuel nkulila, hasa ule wa "miss Tanzania"!
James Ingram - Always.Mimi kuna wimbo flan nautafuta ni old school sijui unaitwaje wala simjui aliyeimba ..... neno ambalo huwa nasikia kwenye chorus ni ALWAYS tu... msaada wenu plz
Upo youtube unaitwa stella wangu, kaimba mwambuiUle wa jamaa aliyeuza mbuzi mabata kuku kumsomesha demu nje ys nchi demu karudi na mimba
Sogea nikushike mkono by Banana Zahir Ally Zorro
huu apa bila shakaMimi kuna wimbo flan nautafuta ni old school sijui unaitwaje wala simjui aliyeimba ..... neno ambalo huwa nasikia kwenye chorus ni ALWAYS tu... msaada wenu plz
Mkuu Tamika ninao[emoji121]
MKUU,
UKIUPATA TAMIKA NI_TAG.
Itakuwa labda ni tempo tu.nimeikosaa
Huu ni Uzi wa mwanamember kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.View attachment 628965