Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Passed away love, maisha safari ndefu, pole pole mama, zote za Cool James Mtoto wa dandu
 
Kuna wimbo Wa RC special kwa ndoa,moja wapo ya maneno wanasema 'pokea Pete hii,iwe ishara ya upendo wangu na uaminifu......'
 
Chona - deo mwanambilimbi, toa mkuki wako - havest choir moro, na yeyote mwenye nyimbo za mtili gospel singers anisaidie kuzipata
 
Natafuta wimbo fulani iv (siujui jina) ila ni ngoma ya kiasili ambao hupigwa sana TBC Taifa wakat wa kipindi kiitwacho ''Jicho'' kinaponza na kumalizika
 
Natafuta nyimbo za kundi la MOB MASTERS, YouTube na google hazipo. Wimbo mmojawapo ninaoukumbuka ni PALAMBA.
 
Back
Top Bottom