Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Upo wimbo wa bongo flavour wa miaka ya tisini hivi,ulikuwa unapatikana ktk mix tape Fulani ya bongo flavour,sijui unaitwaje ila unaimba
Nilipoanza kukujua nilichanganyikiwa,
Mambo mengi nilikupa huku we ukifurahia,
Unajua unanipenda eti mi najivunia,
Rfk zako uliwaambia,kwa siri nilisikia
Nakuomba utulie nami,kwa kweli nakuoenda
Nk no
Ataeujua anisaidie
 
Mkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..

Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..

Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.

"Bora ukose Mali upate akili".
Nitext whatsapp 0625579184 nikutumie hiyo nyimba whatsapp
 
Mkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..

Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..

Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.

"Bora ukose Mali upate akili".
Huu ninao
 
Na kuna wimbo mwinginewa RC unaimbwa,"MOYONI MWANGU,MOYONI MWANGU,NOSIPOSEMA NENO ASANTE,ULIMI WANGU UGANDAMANE"Nautafuta sana
 
Natafuta remix ya Maya wa Simaro Lutumba iliyoimbwa na Mafumu Bilal
 
Naomba mtu anisaidie hizi:-
1. Mama (original version) - King Crazy GK
2. Blah blah- Mr. Two
3. Nimesimama - Mr. Two
4. Jiko limenuna - Fanani (LWP)
Fanani alikuwa HardBlasters
 
Nautafuta wimbo flani wa ktambo wa bongo kaimba msanii anaitwa Nyasi wimbo unaitwa Kumbuka mawazo, naomba mnisaidie kuupata wakuu
 
Back
Top Bottom