Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mm natafuta nyimbo cap komba na tot kwaya isipokuwA za campen za ccm ila hasa kuna wimbo unaitwa mgeni
 
Mkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..

Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..

Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.

"Bora ukose Mali upate akili".
waweka nyimbo awatakiwi jamani ila me ninazo nyimbo za kitambo karibia zote
 
Natafuta wimbo wa kundi deplomats sijui kama ndio jina la kundi linaandikwa hivi, jina la wimbo are you down with the deplomats kama sikosei.
 
Natafta wimbo unaitwa bukoba rap, jamaa simjui jina ila anaimba akielezea alivotoka bukoba kuja dar kutest fani, anaimba kwa rafudhi ya kihaya na anachanganya kiswahili kingereza na kihaya....
Chorus....anaimba hivi...
Izimbwa na tubale, bunazi sijui na wapi amepita mwisho kaja dar kutest life....mweny nao please
 
Back
Top Bottom