Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Asante kwa Uzi huu! Natafuta wimbo wa ally star ni wa zaman kidogo unaitwa natanga na njia mwenye nao pls pls
 
If possible mkuu niwekee screenshoot ya muonekano wa hiyo app
1d5e6bf0f558e2243ac0f3b5ff42f88b.jpg
 
Kuna wimbo flani hv siujui jiana vzur ila live bendi nyingi hupenda kuupiga.. Unaimbwa Leooo Leooo Leooo
 
Back
Top Bottom