Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nisaidieni nyimbo au aliyeimba nyimbo orijino ya "aicha aicha.. "

Ya zamani kidogo.

Wajuvi wanaweza jua muimbaji naomba link pia.
 
jamani mwenye nyimbo zote za hawa magwiji wawili wa music wa taarabu asilia naomba anitumie.
1. mohammed ilyas
2. abdalah issa
 
Back
Top Bottom