Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hapana wewe mtu ni kiboko aisee hii nyimbo nimeitafuta Sana Asante Sana kaka km unaweza nisaidia nipate nyimbo zozote za Korea, China, Spain, Brazil, Mexico nitafurahi Sana lkn Korea zisikose
Nakuongezea na huu anaimba kiswahili.
 

Attachments

Natafuta nyimbo za album moja ya dini iliotamba miaka ya. 1996,
Baadhi ya nyimbo (ingawa majina na kwaya siifahamu) ni;

>Alipokuwa msalabani, yesu alifadhaika sana…

>Mwanadamu nilikuumba kwa mfano wangu mimi… nikakuweka duniani nikakupa kila kitu…

>Kama sinao upendo mimi si kitu kabisaaa….

Et.c etc..

Nawasilisha
 
mkuu habari za mchana mm nilikua naomba mtu mwenye nyimbo zifuatazo;khadija fm academia,mto wenye mamba wengi mchinga sound,nguzo tano za mapenzi mchinga generation,ndoa ya lazima juma kakere,visa vya baba mkwe t.o.t plus,bana beta beta musica,madaraka ya jikoni nina musica na ule wa fm academia jina limenitoka lakini unaimbwa;selina wangu macho kama japanise nakuimbia leo mapendo ni moja,machozi yangu inatoka kama mvua,nikizipata hz ntatoa zawadi aisee
Mkuu vp huo wa mwisho wa fm ujaupata maana hata mm nautafuta sana
 
Natafuta special cell umeimbwa na mandojo. Huo wimbo unaimbwa hivi siku niliyetoka cell nimenyauka vibayavibaya
 
Mbn hazifunguki? Ndo ya lazima sio yenyewe ninayoizumgumzia ni ile ya juma kakere ambayo inapatikana ktk albamu yake iitwayo BETTY
 
Natafuta wimbo aliimba baba ake Banana Zoro, mzee Zoro video yake n kama wako msituni hivi sijui unaitwaje?
 
Nataka wimbo unaoitwa malaika.

Miriam makeba sijui ndo kaimba
 
Mwenye wimbo wa Juliana Kanyomozi unaitwa Woman, naomba aweke hapa.
mkuu naomba wimbo wa sikinde uitwao adha ya chumba kimoja,fm academia jimi chocolate,t.o.t plas visa vya baba mkwe utunzi wake papii kocha,na chuchu sound wimbo uitwao kusema sema rmx na laila utunzi wake marehemu yusuph chuchu na wimbo wa nina music madaraka ya jikoni
 
mm natafuta kuna wimbo ameimba rama dee , nakumbuka kwenye chorus anasema "bila yako we siwezi kufanya chochote, nakupenda, nakuhitaji mama," ,naombeni hata kujua jinà la wimbo huu wakuu
 
Kuna wimbo wa dini natafuta unaimba, " kuna watu wengine wapitapo majaribuni, wanasahau kama Mungu yupo" Mungu hawezi kukuacha Uangamie upendo wake ni kukusaidia"
 
Back
Top Bottom