ABDULLAH MSANGI
Member
- Feb 28, 2014
- 55
- 22
wimbo wa marijan rajab uliofanyiwa remix na paul zongo # mateso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Wimbo wa yewomii eee haupatikani au
Natafuta sitaki tena pombe wa hayati mr Ebbo
hivi huu wimbo uliupata mkuu, huwa naukubali ila bahati mbaya hata jina huwa siujuiHabari mi natafuta Sana nyimbo inaimbwa kaza wangu baba uniulumie wema wangu leo utajulisha km ni watoto fika kwetu kosa, ni huo naupenda mnoo
hivi huu wimbo uliupata mkuu, huwa naukubali ila bahati mbaya hata jina huwa siujui
kuna kipande anasema "unakalia politic, kazi hautafuti utakula nini? "
Wimbo huo ameimba General Defao Wimbo unaitwa Kosa
Huo nautafuta pia mkuj, ukiupata nistue.... Chachacha!Wimbo wa yewomii eee haupatikani au
Nilishaupandisha uliuona mkuuSawa fanya hivyo
Mkuu ligogoma kuna wimbo wa ""K-mondo sound band"" unaitwa ""neli"" duu nimeusaka bila mafanikio lakini wapi, please, please msaada wako Tafadhali.Nilishaupandisha uliuona mkuu