Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mkuu unaweza kuwa na ule wa "Zawadi ya uzima ndio twaililia" Kijitonyama pia
 
Kuna wimbo umeimbwa na THT-Tanzania House of Talents akina Mwasiti wamo humo nakumbuka ilikua mwaka 2007 unaitwa daima milele mwenye nao autupie humu basi huwa nautafuta sana
 
kuna wimbo mmoja ni wabongo fleva kama sikosei unaimbwa "mwache alewe anapoza maumivu...twache tulewe tunapoza maumivu"
 
kuna mwimbo wa gospel unaimbwa "nisamehe baba dhambi unisafiche... unikumbukee yesu we unikumbuke " mwenye nao autupie nautafuta sana.
 
Jamani naomba kama kuna mtu ana wimbo wa VijanaJazz nahisi unaitwa HESIMA YA NDOA, baadhi ya mashairi "enyi wote wake zangu mapenzi yangu kwenu ni sawa mpendane ndio hesima ya ndoa eee" Bi mkubwa analamika jamaa analala kwa bi mdogo tu, kuna sehemu jamaa anajitetea wakati anaenda kulala kwa bi mkubwa akamgonga bata njiani
 
Wakuu kuna wimbo mmoja wa kitambo kidogo nimeusikia jana kwenye mtaa wa mangoma radio1 unaimbwa ""this is,this is the showdown ,this is the showdown we,you and me {sauti ya mwanadada}"". Mwenye nayo anisaidie au jina la msanii plz.
 
Kuna wimbo fln hv aliimba mshkaj mmoja hv bongo hapa lakn nahs kwasasa anaishi nje alimshitikisha Stela Shubi kipnd hcho miaka ya elfu mbili mwanzon ndio kama video queen bongo.
 
kuna wimbo sijui nan kaimba ila nadhan unaitwa a night with gambler
 
Nash mc- Mitihani.

Kama kuna mdau anawimbo huo naomba anisaidie.

Shukran
 
Back
Top Bottom