Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo Fulani HV ni wakitambo, inaonesha umetoka mwanzoni miaka ya 2000...
So nafahamu tu kiitikio jinsi kinavyoimbwa "Nitaka tuwe wote, milele we ni binti wa kiafrika"
Thus naomba mnidirect hata jina la huo wimbo au jina na Msanii husika ili niweze kuitafuta...
Nawasilisha..!!
god zila f. T alikiba wimbo unaitwa milele
 
ulijidai mbabe sana, unaumika sana pale tim kubwa zinapofungwa kwa alienao anitajie hata jina na waimbaji wale
 
Mwenye wimbo wa solo thang unaoitwa simu yangu anisaidie
 
Kuna wimbo mmoja kashirikishwa PNC unaimbwa hivi... sema nini nikufanyieee ili uendelee kuwa na mieee..
Mwenye nao atume humu plzzzzz
 
wakuu naitafuta muda mrefu sana nyimbo inaitwa yatima hadekezwi ya kyman ft squeezer...,,..mwnye nayo aitupie apa..ntashkuru sana..
 
Back
Top Bottom