fakenology
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 999
- 672
Nimefuatilia sio huo. Wenyewe ni instruments tu. Na hakuna MTU anayeimba.Careless whisper au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefuatilia sio huo. Wenyewe ni instruments tu. Na hakuna MTU anayeimba.Careless whisper au
Pamoja!Ngoja waje wanaojua.
Haaaaa, mkuu hicho chama cha Matapeli unakiletaje hapa wakati me nahitaji msaada wa wimbo.... Alaa..!!!!unaitwa CCM Mbele Kwa Mbele
Kool & the ganglet's go dance uu laalalaa
Dah mkuu shukrani sanaaKool & the gang
Kool and gang -lets go danceNa Mimi nautaka huu unaoimbwa hivi
let's go dance uu laalalaa
Let's go dance uu laalalaani throwback track ya Jamaa mweusi hivi wapo mtaani weengi
Atakuwa Kenny G huyoNimefuatilia sio huo. Wenyewe ni instruments tu. Na hakuna MTU anayeimba.
"Forever in love" hiyo itafuteNimefuatilia sio huo. Wenyewe ni instruments tu. Na hakuna MTU anayeimba.
Nimeufuatilia sio wenyewe ila ni mahadhi hayohayo."Forever in love" hiyo itafute
sina demu kama unavyoniona mpenzi ndo maana nimekuchagua wewe ukidhi yangu mahitaji sio kwamba sitaki demu ila sijamuona mwenye sifa uzuri ulionao wewe malaika wangu.
mwenye kujua jina la msanii wa hyo ngoma anisaidie plz