Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nyimbo mbili nazitafuta bila mafanikio.
1. Wimbo Salamu Baba na Mama, wa National Servence.
Mashairi yaliyomo:
Salamu Baba na Mama, nazituma kwa furaha
Bila shaka zitafika,
Tufurahi nyote bila manung'uniko wapenzi yeee
Kwa mimi ninafuraha sana, kuwakumbuni nyie
Wala msiwe na shaka juu yangu mie
Mimi ninawaombe heri, na baraka nyote
Nisalimieni wakiyanga wote.
2. Wimbo wa pili Unaitwa Uzazi wa Majira, baadhi ya mashairi yaliyomo kwenye wimbo ni kama ifuatavyo :-
Shamba letu ee bwana limesimama,
Kilimo cha peke yako mpaka lini,
Usiku nimesikia saa, majira yanagongana mpaka sasa.
Band iliyoimba siikumbuki, Nadhani kati ya Western Jazz, Jamhuri Jazz, Dar Jazz ama Nuta Jazz.
Sina uhakika hasa, ila wahenga wenzangu, watanikumbusha.
Sio huo bwana japo muimbaji ndio mwenyeweHuu apa
Ninao hapa kwa phone,ila Nadhani YouTube utakuwepo bila shida.Natafuta wimbo wa Vitalis maembe _ sumu ya teja
Kuna ule unaimbaga Aisha Aisha petutemwa...what's his official name?
Hahaaa unachekesha!
Petutemwa! Aha haha
Wimbo unaitwa Aicha.
Maneno yenyewe ni ya kifaransa
Aicha écoute-moi! = Aisha nisikilize!
Mkuu ungeutupia hapa kwani youtube haupoNinao hapa kwa phone,ila Nadhani YouTube utakuwepo bila shida.