Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Sophia Jorge Albam ya miaka 90'nimetafuta sana napata nyimbo moja tu ya garly galry Msaada wadau
 
Sasa hii thread naona imekosa mvuto kila mtu anatoa mwimbo wake ambao anautafuta na hakuna anaye-deal na nyimbo za watu wengine....!
 

Mkuu naomba wimbo wa Jay Mo Ulimwengu ndio mama bro. Thanks.
 
1. Miiko Kumi Ya Rap - GK. ✔️
2. Kama Unataka Kuja Home - Daz P
aka BWANA MKUBWA. ✔️
3. Fanani - FANANI. ✔️
4. Unanikumbusha Madem - CHIVALO. ❌
5. Majukumu - JAY MOE. ✔️
6. Kiraka Juu Ya Kiraka - COMPLEX. ✔️
7. Rusha Mikono Hewani - P FUNK. ❌
8. Tupo Town Maisha Kama Vitan - MAPACHA 50/50. ✔️
9. Yamenikuta - GWM. ✔️
10. Nawaza - CHINDO MAN. ✔️
11. Kipaaaa G - SJUI KAIMBA NANI HILI DUDE AISEE. ❌
 
1. Miiko Kumi Ya Rap - GK.
2. Kama Unataka Kuja Home - Daz P
aka BWANA MKUBWA.
3. Fanani - FANANI.
4. Unanikumbusha Madem - CHIVALO.
5. Ulimwengu Ndio Mama -JAY MOE.
7. Kiraka Juu Ya Kiraka - COMPLEX.
8. Rusha Mikono Hewani - P FUNK.
9. Tupo Town Maisha Kama Vitan - MAPACHA 50/50.
10. Yamenikuta - GWM.
Ulimwengu ndio mama ilikuwa ni intro tu mkuu...sio wimbo!!
 
Ulimwengu ndio mama ilikuwa ni intro tu mkuu...sio wimbo!!

Dah, unaona sasa nlikuwa nimechanganya madawa kiongozi kweli wakali bado mpo kwenye tasnia aisee thank you bro.

Nahitaji Majukumu ya Jay Moe na sio ulimwengu ndio mama aisee. Thanks bro.
 
Dah, unaona sasa nlikuwa nimechanganya madawa kiongozi kweli wakali bado mpo kwenye tasnia aisee thank you bro.

Nahitaji Majukumu ya Jay Moe na sio ulimwengu ndio mama aisee. Thanks bro.
Nipe namba pm..nikutumie whatsapp hapa nashindwa kuweka...
 
Back
Top Bottom