Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
ndio huu nlikuw nautafuta asante sana kk sema zipo mbili kuna rmx yake ila verse ni hizo hizo kasoro beat pia kma una wimbo wa viraka f.t Q jay unaitwa niambie ukweli na wa steve rnb unaitwa msamaa una maadhi ya rege nadhan ndio wimbo wake wa kwanza kuutoa baada ya kushirikishwa na mr blue kwenye tabasamu
 
Ni huu au...?
Sio huo ila nimeupata kuna mdau kautuma ila nasukuru kwa ushirikiano naomba kma una wimbo wa viraka f.t q jay unaitwa niambie ukweli kama sijakosea na wimbo wa steve rnb unaitwa msamaa una maadhi ya rege nadhan ndio wimbo wake wa kwanza kuutoa baada ya kushirikishwa na mr blue kwenye tabasamu pia wimbo wa hk f.t Ester wasira unaitwa umerudia tena
 

Attachments

Ngoma ya afande sele 'Acha kupiga mayowe remix'
Na ile nyingine yupo afande sele, ferouz, hussein machozi na na jamaa mwingine sikumbuki jina lake inaitwa 'Anza na kura'
 

Attachments

Kuna album moja iv ya wanume tmk ilikuwa na nyimbo kama tembo kafa kwa ubua, angelina kaimba kaka man ila kunawimbo flan ivi ulikiwepo kwenye album hiyo msaani simkumbuki ila chorus aliima juma nature inaimba hiv" hatakama sina mali isiwe sababu ukaniacha mwenzio bila sababu"jina la wimbo nadhan unaitwa nieleze najua wadau wa hapa hakishindikan kitu.natanguliza shukran
 
Mimi nautafuta wimbo fulani wa gospel uliimbwa na kwaya Fulani kitambo sana. Nmesahau jina lake na Nina la kwaya yenyewe lakini nakumbuka mistari take baadhi. Na mistari yenyewe ni ifuatayo: Nimekuleta chini nikakupa kila kitu lakini umesahau kwamba Mimi ni muumba wako. Ntashukuru Nikiupata.
Huu wimbo umeimbwa na "Kwaya Ya Vijana KKKT Mabibo - Mwanadamu nimekuumba" ingia YouTube utaipata
 
Ngoma ya afande sele 'Acha kupiga mayowe remix'
Na ile nyingine yupo afande sele, ferouz, hussein machozi na na jamaa mwingine sikumbuki jina lake inaitwa 'Anza na kura'
 

Attachments

KIOO NAKUSHUKURU SANA KWA KWELI NIMEAMINI JAMII FORUM NI JUKWAA LA KIJANJA.
HIZI NYIMBO NILISHAZIRAFUTA KWA WABURN CD NAKUTA NI VITOTO VYA KUANZIA MIAKA YA 2000 HAVIJUI NYIMBO VINANIAMBIA NAVITAJIA NYIMBO ZA UONGO.

😂😂😂😂😂

Sikutaka ni-comment chochote zaidi ya kushusha vyuma chakavu tu ila kwa comment yako hii imenifanya ni-comment na nimejikuta nafurahi tu mkuu.

😂😂😂😂😂

Ngoja nikupe zawadi, waskilize kaka na dada aisee. ENJOY.
 

Attachments

Mkuu Kuna hizi nyimbo KALI sana za HIPHOP naziomba mkuu nimezitafuta bila mafanikio.

1.Black rhyno_Niskize me
2.Black rhyno_Nini mnataka mazee (mistari).
3.Hashim_Kibongobongo au kinyamwezi
4.Hashim_Mama pili ana watoto wawili wakwanza anaitwa teda wa pili ataitwa nani?? Aaah rudia...!


Pamoja sana mkuu
Saigon huyo
 
Back
Top Bottom