Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Shukrani mkuu...kuna nyingine Inaitwa Sio Superstar "Sina Gari wala nyumba haa superstar...mi spendi mniite Super Star.."...
Pia Playboy Ya Benjamin Wa Mambo Jambo kama itakuwepo....
 
Ahsante mkuu.... Una akiba ya kutosha.. mi niliibiwaga PC yangu so now ndio naziunganisha
 
wakuu gwankaja na kioo nifanyieni nyimbo za Album ya mafahari wa tatu muumini Alichoki na banza stone pamoja na Album ya muumini na hamza kalala naamini uwepo wenu humu umetupa faida sana sisi vijana wazamani kidogo
 
Jamani msaada nyimbo ya Q chilla inaitwa 'unaitwa nani'
Chorus: "unaitwa naniii nanii anti samahaniii unaishi wapi wapiiii ningependa fahamu...."
 
Back
Top Bottom