Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna goma moja la kibabe Ngwair{RIP} alimshirikisha Juma Nature bahati mbaya nimesahau verse na chorus ila hapa napoandika beats zake zinanijia kichwani ila kuuelezea zaidi kwa ufasaha nashindwa ila beat lake likitaka kufanana na beat la Shock Ones la Mobb Deep naomba mwenye nayo hii ngoma anipe link.

Thanks in advance wakuu.
[emoji3][emoji3] watu wa dizaini yako mnawatesaga Sana jamaa wanao burn music kwa kompyuta
 
Kuna wimbo mmoja sijui aliimba nani lakini ulikuwa unasema ".... Kula kwake vichochoroni, kuvaa kwake vichochoroni, usikumbatie vichochoroni, kuna vibaka wengi sana...."

Na mwingine unasema "kuchoma choma kubaya utamchoma mkweo aliyekuzalia mkeo....
 
Wakuu Habari za sasa.

Kuna wimbo flani hivi wa JOHN CENA yule mpigana mieleka ila sijui unaitwaje huwa unapigwa kipindi anaingia uwanjani kupigana.

Tafadhali kama kuna mtu anao nauomba.

Shukrani
 
Wakuu Habari za sasa.

Kuna wimbo flani hivi wa JOHN CENA yule mpigana mieleka ila sijui unaitwaje huwa unapigwa kipindi anaingia uwanjani kupigana.

Tafadhali kama kuna mtu anao nauomba.

Shukrani
Unaitwa you can't see me
 
Wakuu Habari za sasa.

Kuna wimbo flani hivi wa JOHN CENA yule mpigana mieleka ila sijui unaitwaje huwa unapigwa kipindi anaingia uwanjani kupigana.

Tafadhali kama kuna mtu anao nauomba.

Shukrani

My time is now
 
Back
Top Bottom