Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hata ukiongea haina shida kwa sisi wenye vibes za music tutakuwa tumeshajua ni wimbo gani unaouzungumzia mkuu.

Jirekodi japo kidogo kiongozi tuuskie tukusaidie kuupandisha hapa jukwaani mkuu. Thanks.
Kioo kuna wimbo wa miaka hiyo unaitwa babaDhao na mamadhao aliyeimba anaitwa mdhee wa kadhi , hebu fanya mambo hapa kama unao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we mkaka, huu hapa wimbo wako, babu yangu alikua anaweka anaanza kucheza huku amelewa kimpumu.
namie nitafutie taarab ya buzi limewekwa chini shangingi analichuuna
Asante sana Mama Debora kwa kunitupia huu wimbo maana nilikuwa nausaka sana bila mafanikio na nisingeweza kuupata bila msaada wako. Ama kweli JF ni kisima cha maarifa! Wimbo wako mpaka sasa hivi nakutafutia. Unaweza kukumbuka uliimbwa na bendi gani au kundi gani la taarabu?
 
Wakuu naombeni msaada nahitaji wimbo mmoja hivi sijui unaiywaje ila mistari inaimbwa.

Dunia hii mama lukumba lukumba . Dunia hii mwendo wa kinyonga.

Tafadhali mwenye nayo anisaidie wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom