Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nilipotea kidogo mkuu,,ila nmerudi kamili

Nilikuwa naomba ngoma ya Babuu ft colloo -usipime
Ulipotea sana kiongozi. Au huwa unapita kimya kimya aisee.

We miss you buddy.
Niliwamiss pia wazee wenzangu
 
habar wakuu ...aisee kipindi nipo mdogo hivi kuna nyimbo niliwai kuisikia inaimbwa hivi
"ufupi mama wee...ufupi unanipa tabu wiki iliyopita nyumbani kulikuwa na show walikisanyika matozi na mabishoo" nakumbuka hivyo tu ni old song aisee kama kuna mtu anayeifaham au anamfahamu huyu msanii naomba mnisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Solo thang - Ulingoni
Gangwe mobb - Tunakichanga
Kwanza unit - Nakuja
Mike T feat stara- Tunarap na kuimba
Soggy doggy feat hard blasterz - Mtikisiko
Album ya hard blasters kabla ya funga kazi.
 
Back
Top Bottom