Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Huu wimbo unaopigwa kwenye tamthilia ya KAPUNI ameiba nani na unaitwaje
 
WAKUU NAUTAFUTA WIMBO WA DULLY SYKES UNAITWA MONALISA NINA SHIDA NAO SANA NA NI WA ZAMANI MNO
 
Jamani Kuna band moja ya zamani kidogo waliimba nyimbo km shangingi na mbio za sakafuni huishia ukikongoni walikuwa na kibwagizo cha kata kiu ya dance km kuna m2 ananyimbo zake naziomba
 
Oya wakuu niaje natumai mko poa kabisa. Kuna ngoma moja hivi ina wasanii wengi humo ndani kwenye beat ya Prof Jay ya Hapo Vipi Hapo Sawa naomba mnisaidie aisee. Natanguliza shukran.
 
Oya wakuu niaje natumai mko poa kabisa. Kuna ngoma moja hivi ina wasanii wengi humo ndani kwenye beat ya Prof Jay ya Hapo Vipi Hapo Sawa naomba mnisaidie aisee. Natanguliza shukran.
 

Attachments

Li jimbo fulani hivi club banger la SA linavyoanza beat lake kuna kibwagizo kama chura wanavyopiga kelele kwenye maji. MaDj wanapenda sana kulipiga hilo goma kwenye mixing zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu bado natafuta hizi nyimbo...

1. Mpenzi kwaheri-Jay Moe ft TID

2. Unaitwa nani-Q Chief ft Solo Thang

3. Play Boy-Benjamin wa Mambo Jambo

4. Nimekufananisha-Top C

5. Nizzo feat Kassim-Message Zangu

6. Nibembeleze kwa beat ya Mazuu-Miraj feat Ay
 
Back
Top Bottom