Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mwenye wimbo wa
1. Mac D "cheza na mi" feat. Saidi Comorien, naomba aupandishe.
2. Waswahili wale walioimba Pengo wana wimbo wao kuna mstari " ndugu zako wamekutembelea badala ya kuwapokea unawauliza mmefata nini"
 
Mwenye wimbo wa:
1. Zig Zag Crew feat. AY

2. Big Dogg Pose - Ma-Jobless ( tunawaza sana mpaka mabichwa yanaongezeka upana)

3. Mr. II (Sugu) feat. King Kiki - Hapo Zamani.
 
Naomba pia nyimbo za InAfrika Band mfano Yala Yala na nyinginezo kama Boko ( sijui ni Kilimanjaro band "njenje"?) .

Natanguliza shukrani zangu kwa wadau wote mnaotusaidia. Maana kuna ngoma sikuwahi kujua kama nitazipata kama Sonel "posta" lakini kwa juhudi zenu nimezipata. Ahsanteni sana.
 
Mwenye wimbo wa
1. Mac D "cheza na mi" feat. Saidi Comorien, naomba aupandishe.
2. Waswahili wale walioimba Pengo wana wimbo wao kuna mstari " ndugu zako wamekutembelea badala ya kuwapokea unawauliza mmefata nini"
Hiyo ya Waswahili inaitwa Yupi Bora..
 
Naomba wimbo wa o ten "mkuu wa mkoa"
Pia afande sele "kwavyovyote"
Afande sele huyo huyo tena umenitosa tnx.
Prof jey msinitenge.
Pig black nini mnataka.
Na ili nisiwachoshe waungwa nyimbo ya kali p jina imenitoka ila anazungumzia hizi nywele mwisho wa nyimbo anasema pipi ya dara
 
Back
Top Bottom