Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mafaniko yapo. Huu hapa. Enjoy
Mkuu shukrani sana sana sana, huu wimbo niliutafuta sana bila mafanikio. Ni wimbo wa kwanza marehemu Jebbi kuskika.

"ᵀʰᵉ ᵒⁿˡʸ ˢᵒᵘʳᶜᵉ ᵒᶠ ᵏⁿᵒʷˡᵉᵈᵍᵉ ⁱˢ ᵉˣᵖᵉʳⁱᵉⁿᶜᵉ"
 
niaje wadau naitafuta wimbo wa UB KGB wimbo unaitwa TINGISHA KICHWA.nimeutafuta bila mafanikio sijaupata naomba mnisaidie
 
Wakuu hbr ya majukumu naomba mwenye wimbo wa Mad Max ft Queen Darling -vitu adimu
 
Back
Top Bottom