Kiinua Mgongo
Member
- Sep 25, 2018
- 10
- 7
Soul n faith ..ismail na mwenzake ngoma moja hivi inaitwa "niwe nawe "...mwenye nayo tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km sjakosea wadada ni Shaa (demu wa master J)Kiswaenglish jina lake nafikiri ni kundi la Wakilisha Marehemu Langa na wale wa Dada wawili... moja kibonge mwepec nmesahau majina yao...
Sent using Jamii Forums mobile app
Km sjakosea wadada ni Shaa (demu wa master J)
Na Witness (kibonge mwepesi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar za saa wakuu.
Naomba hii ngoma yenye mistari hii
"Najiuliza hili swali sipati jibu kamili
Waliongea wabongo kimombo kiswahili"
Dude litakuwa linaitwa kimombo kiswahili
Ni la kitambo kidogo.
Shukran.
Gwankaja
Kioo
Idimi
Na woteeee.
Soul n faith ..ismail na mwenzake ngoma moja hivi inaitwa "niwe nawe "...mwenye nayo tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni Shaa au Sarah mkuu...?
Okay shukran kwa usahihishoSina hakika kama Shaa aliwahi kuwa Wakilisha my dear.
Mkuu KIOO kuna ngoma hii USIJE MJINI lakini ikiwa katika MNANDA!!
Nafikiri ni JAGUAR waliimba au Omary Omary!
By tha way naomba nyimbo za Omary Omary kama utabahatika kuzipata mtu wangu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyimbo zote za msanii wa gospel anaitwa Alex Mamenge. Ana nyimbo nzuri sana za TENZI.Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Mkuu Sarah ndie Shaa.Sina hakika kama Shaa aliwahi kuwa Wakilisha my dear.
NAOMBA WIMBO WA WANDAVA CLICK FT INSPECTOR HAROUN
UTAPENDA WANGAPI?
NA KIGHETO GHETO ORIGINAL VERSION YA JUMA NATURE NA KING SAPETO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa member Wa wakilisha kaka. Langa,Witness na Sara "Shaa" kwa sasaSina hakika kama Shaa aliwahi kuwa Wakilisha my dear.