Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wimbo wa bwana Misosi ft suma lee-
Sumalee chorus anaimba kuna sehem anasema
..........kuna kupanda na kushuka/ safari ni ndefu
Mwenye upeo wajibika aahhh/safari ni ndefu
Bado hatujafika jipe moyo/

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965
Samahani sana.

Mimi natafuta Video za hizi nyimbo hata kwa gharama.
1. Kukurukakara zao ya SOS B
2. nikizipata ya Elluka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta nyimbo mbili za Joh Makini zilikuwa released kati ya 2006 na 2007 ila sio Manuva na Chochote popote. ....moja ina mstari unasema "ero subai, yeyo takwenya"
 
"Niko mikononi mwa polisi bado maisha yangu Ni mikosi, afandeeeeeee × 4"

Sugu_mikononi mwa polisi.

TBT
Habar wakuu naomba hilo li nyundo tafadhali.
Pamoja sana.

Gwankaja
Kioo
Idimi
Machungwa
 
Natqfuta wimbo wa Mr 2 ft king kiki hapo zamani nimeuona website moja ya kulipia nimeshindwa kuu download website inaitwa last FM ni app moja hivi sema unalipia kama mkito.com msaada please nyimbo nyingi zinapatikana hapo hata ya juma nature kigeto geto ambayo mr paul hayumo nadhani itapatikana last fm
 
Samahani sana.

Mimi natafuta Video za hizi nyimbo hata kwa gharama.
1. Kukurukakara zao ya SOS B
2. nikizipata ya Elluka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sos B wa maa B, kukurukakara zako wewe zitakuponza brither sister......
Ukiwakuta wapeleke mchakamchaka.....

Makonda hivi ni kwanini aaah kwani hivi ni kwanini..........


Mkuu ukiupata huu nitag.

Pia kuna ule wa GWM cheza mbali na Kasheshe ukiupata nitag pia

CC. KIOO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sos B wa maa B, kukurukakara zako wewe zitakuponza brither sister......
Ukiwakuta wapeleke mchakamchaka.....

Makonda hivi ni kwanini aaah kwani hivi ni kwanini..........


Mkuu ukiupata huu nitag.

Pia kuna ule wa GWM cheza mbali na Kasheshe ukiupata nitag pia

CC. KIOO

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Back
Top Bottom