Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hivi kuna nyimbo inaitwa NI VERSE MOJA TU ya MwanaFA na Dudubaya!?

Nasikiaga kama utangulizi kwenye nyimbo fulani ya FA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dudubaya anakwambia
Tuliza kitenesi Fa Dudu tumalize kesi.....wambie mafansi x2

Kwenye wimbo unaitwa Hawajui-fa ft jay dee. Ila hiyo ngoma sjawah kuiskia asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau, mimi natafuta album nzima ya Mchiriku/Mnanda ya Eleven stars inayoitwa Upele Ing'wa ulole. Kwa mwenye nayo tafadhali aiweke!

Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
 
Mwenye wimbo wa masanja mkandamizaji,,,nmeutafuta sana ...jina lake siyfahamu.
ila ila unaanza hivi hili song lalipiga toka kijiji...ni
Wimbo unaishia na neno ni....kwenye mistar. Mfano miguu.. .ni,kinondo..ni,,,mahospitali..ni ,,,,kwini...ni. mwenye nao basi au anayejua jina la song

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asubuhi wakuu.
Tafadhali naomba hit songs za msanii
"Monique Seka" yule malkia wa zouk
Shukrani.

#kioo
#gwankaja
#idimi

Asubuhi njema.
 
Back
Top Bottom