MNYAMU ZE KB
Senior Member
- Nov 17, 2014
- 149
- 64
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dudubaya anakwambiaHivi kuna nyimbo inaitwa NI VERSE MOJA TU ya MwanaFA na Dudubaya!?
Nasikiaga kama utangulizi kwenye nyimbo fulani ya FA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chande ya Tamtam ninao ila nashindwa kuuweka humu JF, kuna siku niliomba kuelekezwa nikaambiwa ni mpaka utumie PC ndio inawezekana na sio simu.
Q chief mama uko wapi mwenye nao pls
Nikupe no. Unitumie wasapChande ya Tamtam ninao ila nashindwa kuuweka humu JF, kuna siku niliomba kuelekezwa nikaambiwa ni mpaka utumie PC ndio inawezekana na sio simu.
Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.