Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta nyimbo hizi mwenye anazo anisaidie..
!. Kalapina- Asiyekubali kushindwa sio mshindani
2.Tatuu - Penzi la daima
3.Miss sarah - Nikuite jina gani mpenzi
4.Complex - nyimbo imenitoka ina beat flani nzito.
 
Kuna wimbo flni hivi wa Mopao a.k.a koffi olomide, jina siufahamu ila kwenye video yake mopao mwenyewe anagonga beat kwa kukipiga kikombe kama "mkwasa" fulani hivi...

Mwenye kuujua tafadhali.

Mkuu CC. KIOO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wimbo unaitwa Rafiki

Ule wanaimba hivi "Ni rafiki tu ,huyo ni manzi wako, ni rafiki tu mazee manzi wangu yupo, mbona yee mwenyewe anamjua "

CC Idimi
KIOO
 

Attachments

  • IMG-20190225-WA0015.jpeg
    IMG-20190225-WA0015.jpeg
    28.5 KB · Views: 86
Back
Top Bottom