Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
NATAFUTA WIMBO WA NACHUNGULIA DIRISHANI NAONA MVUA INANYESHA WA BENDI GANI SIJUI LAKINI NI WIMBO MAARUFU SANA
 
Jana nmekaskia skia tu ni ka nyimbo ka bongoflava ka kitambo flani hivi ila kuna chorus kaimba mdada hivi "Niko tayari kuonyesha uwezo" Sijui ni sauti ya Sister P ile... Ila ni nyimbo ya mchizi flani sikumpata jina...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUNA WIMBO ULITOKA MWAKA 2006 HUU WIMBO UNAENDANA NA MPENZI JINI YA Z ANTHO
JAMAA ANAIMBA
I'M SORY MAMIII NATESEKA MOYONI NIMETEKWA KIMAHABA NA HUYU JINI MAHAABA OOOOOOH LAAAZIZ OOOOOOH KIPENZIII
MWENYE NAO ANIWEZESHE NATANGULIZA SHUKURANI
 
Mwenye liputa ya fundi fally ipupa afanye mpango.Naikubali sana hii ngoma.
 
KIOO kwa heshima na taadhima hebu naomba upekue pekue kwenye maktaba yako na unifanyie mchakato wa nyimbo zifuatazo.
1.Djojo ngonda
2.Coco madimba
3.Filandu
Zote hizo ni za Wenge BCBG toka album ya Pentagone..(yawezekana nimekosea majina utaniwia radhi).natanguliza shukurani.
 
Bodea
 

Attachments

gwankaja
kwa heshima na taadhima hebu naomba upekue pekue kwenye maktaba yako na unifanyie mchakato wa nyimbo zifuatazo.
1.Djojo ngonda
2.Coco madimba
3.Filandu
Zote hizo ni za Wenge BCBG toka album ya Pentagone..(yawezekana nimekosea majina utaniwia radhi).natanguliza shukurani
 
Back
Top Bottom