Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Shukrani sana afisa, nipatien na Akudo Impact - Mapenzi kitu gani...ile nyimbo ya kwanza ya Christian Bella papaa ya masauti. Nikipata ya 320kbp itakuwa hatari fayaaa!!!Haya. Huu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana afisa, nipatien na Akudo Impact - Mapenzi kitu gani...ile nyimbo ya kwanza ya Christian Bella papaa ya masauti. Nikipata ya 320kbp itakuwa hatari fayaaa!!!Haya. Huu hapa
Kuna mwanadada aliimba wimbo unaitwa wa pekee nadhan,kwny chorus alisimama juma kassim nature kiroboto..... wanaimba milimaaa tulipanda nae mabondeeee tukashuka nae wa pekee niwe nae......
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana afisa, nipatien na Akudo Impact - Mapenzi kitu gani...ile nyimbo ya kwanza ya Christian Bella papaa ya masauti. Nikipata ya 320kbp itakuwa hatari fayaaa!!!
Ndio mkuuUnamaanisha yako wapi mapenzi mkuu...?
Hii sio clean mbona
Basi mkuu, nimeskiliza size ya file ilintisha, nmepata CD quality kumbe hio JoanitaWimbo gani kiongozi...?
Nyimbo ikiwa chaf huwa siinjoy naona inakera tu, nina player inaitwa selenium nimeitia eqaulizer na earphones nzuri inakita kama subwooferWimbo gani kiongozi...?
Nyimbo ikiwa chaf huwa siinjoy naona inakera tu, nina player inaitwa selenium nimeitia eqaulizer na earphones nzuri inakita kama subwoofer
Mkuu naomba ngoma za AT km bao la kete nk na Ahmad umelewa ila chid benz na langa ile mwanzo ipo nusu pls mkuuMi natumia Poweramp ila hujasema ni wimbo gani huo unaousemea...?
Mkuu naomba ngoma za AT km bao la kete nk na Ahmad umelewa ila chid benz na langa ile mwanzo ipo nusu pls mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app