Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wimbo flan aliimba Nikki mbishi, cliff mitindo na wengine.....Kama tribute kwa mangwea alipodead

Nakumbuka tuu

Moment of silence.......washa mishumaa namulika..... Safari imeshafika mwishoni ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wimbo mmoja wa kitambo ulikuwa unaimba km hv " Watu wanapali ndani ya disco x2" ingawa msanii simfaham aliyeimba km kuna mtu anao nauomba.
 

Attachments

Attachments

Back
Top Bottom