Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Daaaah, mkuu lyrics sina ila asante sana kwa hii ngoma aisee sijaiskia nna muda sana, pia baada ya kuiskiliza sikio langu likakumbuka tena wimbo mwingine wa 702_You_Just_Never_Know ambao pia sijauskia kitambo sana.

Umefanya jioni yangu imekuwa njema sana kwa hizi ngoma mbili mkuu. Thanks a lot nikipata lyrics sitasita kukuwekea hapa. Thanks aisee.
Mkuu nimetafuta kwa muda mrefu bila mafanikio, nitashukuru sana ukinitumia utakapopata.
Asante sana kwa 702_You_Just_Never_Know huu nimeusikia kitambo sana ila sasa nimeuweka kwenye playlist yangu
 
Mkuu nimetafuta kwa muda mrefu bila mafanikio, nitashukuru sana ukinitumia utakapopata.
Asante sana kwa 702_You_Just_Never_Know huu nimeusikia kitambo sana ila sasa nimeuweka kwenye playlist yangu

Usjali kiongozi tuko pamoja mkuu. Sijakuelewa wimbo gani unatafuta kwa muda mref umesema...?
 
Wakuu naomba mwenye nyimbo izi anisaidie

Bwana misosi_nitoke vipi

Bwana misosi_mabinti wa kitanga

Joni woka na Ras lion_tawile

Hard mad_tamala

Wagosi wa kaya_Tanga kunani rmx

Pia kuna nyimbo moja inaitwa request line mshikaji moja ivi wa Chugga jina lake nimelisahau ya kitambo kidogo

Natanguliza shukrani zenu wana jamvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani jamani mimi ninatafuta wimbo wa mack dizo ft juma nature wimbo unaitwa tabibu rmx nimeingia Google nimesarch unaipata moja kwa moja zartom nimeshindwa kuipakua tafadhali msaada wanaoweza kuupata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba mwenye nyimbo izi anisaidie

Bwana misosi_nitoke vipi

Bwana misosi_mabinti wa kitanga

Joni woka na Ras lion_tawile

Hard mad_tamala

Wagosi wa kaya_Tanga kunani rmx

Pia kuna nyimbo moja inaitwa request line mshikaji moja ivi wa Chugga jina lake nimelisahau ya kitambo kidogo

Natanguliza shukrani zenu wana jamvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Wakuu leo nakuja kivingine kidogo kwa kuimalizia Ijumaa naomba huu sjui niite wimbo au kaswida ila ni wa jamaa mmoja hivi anaitwa Yusuf Abdi unaitwa Tabia ni dini yako wakuu. Natanguliza shukran zangu kwenu aisee.
 
Hahahah, huu sio wimbo wala qaswida aisee inaitwa NASHEED mkuu.

Huyu jamaa namkubali sana kwa kazi zake na hii pia ni moja kati ya kazi zake nnazozikubali sana aisee. Ina ujumbe mzuri sana mkuu.

Aisee mkuu heshima sana kiongozi. Hatari.
 
Back
Top Bottom