Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta Sana Nyimbo za Dr. Remmy Ongala zile za injili alizotoa baada ya kuokoka..

Hapa nnazo mbili tu

1. Kwan Yesu kuna furaha
2. Dunia kwaheri.

Kwa mwenye zingine zaidi ya hizo hapo mbili juu aweke hapa ntashukuru sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAPO HAPO KWENYE MY FILE FUNGUA KISHA KAMA UNA MEMORY CARD KUTAKUA NA MAFILE MAWILI
(1)INTERNAL MEMORY NA
(2)EXTERNAL MEMORY
SASA HAPO INATEGEMEA UMEISET VIPI SIMU YAKO, KAMA ULIISETI KILA UNACHODOWLOAD KIINGIE KWENYE MEMORY YA SIMU, BASI FUNGUA INTERNAL MEMORY KISHA TAFUTA FILE LA DOWNLOAD UTAZIKUTA ILA KAMA UMESET SIMU KILA UKIDOWNLOAD VITU VIENDE KWENYE MEMORY CARD BASI FUNGUA EXTERNAL MEMORY NA UENDE KWENYE FILE LA DOWNLOAD NA UTAZIKUTA NYIMBO ZOTE ULIZODOWNLOAD HAPA.
WENZAKO NDIO TUNAFANYA HIVYO
NATUMAINI KWA MAELEZO HAYO MAREFU UTAKUA UMEELEWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani..nimefanikisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wimbo wa soggy dog hunter- mtoto wa marehemu,

Machizi wa hatari- vita baridi

Dataz ft squeezer - I hate you

Mabaga fresh - Hakuna noma wala ngendembwe

Kama unazo pia za university corner ntashukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom