mnyaga1
Senior Member
- Sep 24, 2014
- 184
- 104
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha mkuu KIOO unazingua mwana, nifanyie mpango hizo ngoma hapo [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
twanga pepeta -kisa cha mpemba
beatrice wa zahil zorro
Wimbo flani hivi mashairi yake yanasomeka - [emoji444]" baada ya kumaliza masomo nilipata kazi, wazazi wangu walinihusia jinsi ya kuishi na walimwengu"......-Halaf kibwagizo- " nawashukuru wazazi wangu wakati wote, ushauri wao uliniletea mafanikio mema sasa naishi na watu vizuri oooooh jamaa"
Wapi ntaupata bandugu?
Mbona ombi la ule wimbo wa tazama ramani utaona nchi nzuri hauletwi??? Tulimba sana miaka yetu 1980-90. Taf wekeni hapa uwe ringtone yangu.
Wakuu naombeni nyimbo ya Daz Baba unavyofanya sivyo,but sina uhakika kama unaitwa hivi,ila kwenye chorus maneno haya yapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta mwimbo wa naipenda simba mshabik wa kweli.
unavuma lakin humo ya aliy star
Poa mkuu shukrani pia [emoji106][emoji106]Asante sana mkuu nimeipata moyo wangu umefuuuraaahi kabisa[emoji95][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app