Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna song moja ya reggae inaimba Marley was the rastaaa! Alafu chorus yake wanajibu.....was the...elilelelalelaaa bonge la wimbo aliimba Ziggy Marley hii nyimbo miaka ya 90's jamani mwenye nayo aitupie
 
Ninautafuta wimbo wa Msondo ngoma jina siufahamu

Ila moja ya verse inasema

"Barua uliyonipa niliisoma huku nalia"

"Unanipa mtihani lazima nikafikiri anhaaa mola nisaidie"
 
Back
Top Bottom