Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu kuna nyimbo naitafuta lakini sijui inaitwaje wala nani aliyeimba inaimbwa hivi mamy usife moyo na yangu hali rizika na machache yaliyotayari kulimic penz lako sipo tayari umasikini na utajiri yote hali
Nimeitafuta sana nyimbo hii ya miaka ya 2010
Ya Johnson Na jackson ft mr blue
inaitwa usife moyo
ila sina
 
Mkuu samahani kuna nyimbo ya nikki mbishi nimeisahau jina ila humo kuna line inasema

Me ndo bingwa wa Ko usiulize nna draw ngap
naflow something ofcoz unaflow nothing
game undercontrol napanga kuscore something
Wadau mbona ngoma zingine za juzi tu na zipo Google zimejaa kwa kila blog?
 
Wakuu mwenye wimbo wa 'Ridandansi'- Wagosi wa Kaya, msaada tafadhali..
 
Kuna nyimbo hizi nazitafuta sana
1: Anita -Matonya
2: Mbele yako - Afande sele
3: Maji ya shingo - Daz Nundaz
4: Bongo Dar es salaam - Prof J
5: Latifa - Mb Dogg
6: Siamini - Matonya
7 : Kamanda - Daz Nundaz
8: Mkuki Moyoni -Afande sele
9: Niko busy - Jafaray ft Daz Baba
10: Machozi - Lady JD
 
Kuna nyimbo hizi nazitafuta sana
1: Anita -Matonya
2: Mbele yako - Afande sele
3: Maji ya shingo - Daz Nundaz
4: Bongo Dar es salaam - Prof J
5: Latifa - Mb Dogg
6: Siamini - Matonya
7 : Kamanda - Daz Nundaz
8: Mkuki Moyoni -Afande sele
9: Niko busy - Jafaray ft Daz Baba
10: Machozi - Lady JD
Kama hujazipata natumaini ndio hizi
 

Attachments

Back
Top Bottom