Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna nyimbo ivi wanaimba corus "Time after Time" sijui Nani aliimba, mwenye nao anisaidie please
 
Kuna wimbo kaimba crazy buffa wimbo unaimbwa hivi "muziki ni fani au tuko mashakani mbona hii fani mimi siioni " ndo inavyoimbwa

Pita kwenye hiyo page hapo nimeuweka leo tu ndugu.
 
NINAO UNAITWA NILIKUONA UPO CLUB KUUPANDISHA HAPA NDIO SHIDA. SIWEZAGI
Bofya "Reply" kwenye post ya huyo jamaa ili aone..halafu bofya "ATTACH FILES"
hapo uta select hilo pini na usubili lijiattach ndo unamalizia kubofya "POST REPLY"
 
Wakubwa mwenye nyimbo za sqiza yule kaka yake dataz naziomba na mkali langa RIP naomba nyimbo zao jamani
 
senorita.
kiitikio chake nimeshakisahau ila jamaa anatokezea kumpenda msichana wa spain, bahati mbaya jamaa ni lugha gongana.
 
>TMK majita_Utamu bila kunawa
>Danny Msimamo_Nipo kama simo
>Nimemsahau msanii ila wimbo unachorus "usiulize nani kafa we jua tu amekufa"....
 

Attachments

Back
Top Bottom