Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wimbo huu nautafuta ......maisha ni mwendo wapole ..jina anaitwa zagamba mamba lakini Niki mseach siupati wimbo huu
 
Kuna wimbo nilishawahi kuuomba naona kimya mpaka leo ni wimbo wa hot pot family aliyeimba sijui in sogg dog hanter au Suma g ameimba kama kigugumizi fulani unaimbwa hivi maneno yake " ha ha ha hanana do....hotpot....kamili gado...mh mh mambo bado....mh mh mmh" Halafu kiitikio pia anaimba kwa kigugumizi na verse kwa kigugumizi pia koo na wengine mwenye nao tafadhali auweke hapa
 
Wakuu kuna nyimbo 1 ya jamaa wa kenya anaitwa Lenny km sjakosea, chorus yake ni "sasa bebigal, sio kamdigida nataka nikutach, nimekutafuta kwa shidaa sio kamdigida nataka nikutach"

Nna miaka zaid ya 5 nausaka huu wimbo bila mafanikio

Cc KIOO
 
Dah!! Nimepakua nyimbo zaidi ya 500 kwenye huu uzi asee

Long Live Jamii Forums

Maxence Melo God Bless You

God Bless JF.
Sawa Sawa nami, vile vile unaweza ukaongeza zingine kupitia uzi unaomuhusu P funk na Mika Mwamba
 
back where you belong umeimbwa na New Song mwenye access nao please ni gospel
 
Back
Top Bottom