Prem 96
JF-Expert Member
- Jul 19, 2019
- 607
- 1,971
Mh mm sina
Nisaidie wimbo k mondo sound band nyimbo zao zote kama zipo please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidie wimbo k mondo sound band nyimbo zao zote kama zipo please
Kaimba zongo analimwanya hatari na wimbo nahisi unaitwa shogaNatafuta huu wimbo.
Unaanza hivi.
"Nimeshitushwa na ujumbe ulionitumia ......"
"Aaaaa aaah sababu namfuata fuata mumeo"
"Shoga eeeeeh eeh ukiniuzi utanionea bure"
Naomba wimbo wa mimi ulioimbwa na O tenHahahahah stay blessed mkuu...!
2KOPA1
Hahahahah stay blessed mkuu...!
2KOPA1
Nimeupata mkuu asante.Kaimba zongo analimwanya hatari na wimbo nahisi unaitwa shoga
Kuna original umeimbwa na wazee ila kuna remix ilifanywa kisasa kabisa na dada mmoja aliyekuwa mtangazaji clouds fm anafahamika kama fina mangoHivi kaimba msanii gani??
natafuta nyimbo ya oten nicheki
Kioo ,naomba kama una nyimbo ya kilio cha yatima ya mwinjuma itupie hapa
[emoji122][emoji122][emoji122]
Mkuu kioo miiko 10 ya rap tafadhari ya Gk
Una nyimbo zingine za Dr mjusi walizoimba za vichekesho naziomba mkuu
Natafuta huu wimbo.
Unaanza hivi.
"Nimeshitushwa na ujumbe ulionitumia ......"
"Aaaaa aaah sababu namfuata fuata mumeo"
"Shoga eeeeeh eeh ukiniuzi utanionea bure"
Naomba wimbo wa mimi ulioimbwa na O ten
naomba wimbo wa mr nice hata wakinuna
Mwenye wimbo wa Bob rudala unaimbwa ahsante kwa kunizalia mtoto mtoto mwanaume anisaidie