Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta huu wimbo.

Unaanza hivi.

"Nimeshitushwa na ujumbe ulionitumia ......"
"Aaaaa aaah sababu namfuata fuata mumeo"
"Shoga eeeeeh eeh ukiniuzi utanionea bure"
Kaimba zongo analimwanya hatari na wimbo nahisi unaitwa shoga
 
Mwenye wimbo wa Bob rudala unaimbwa ahsante kwa kunizalia mtoto mtoto mwanaume anisaidie
 
Habari wakuu.
naomba ngoma ya
madee_cheza kidogo
juma nature_mugambo.

shukrani
 
Kioo ,naomba kama una nyimbo ya kilio cha yatima ya mwinjuma itupie hapa
[emoji122][emoji122][emoji122]

Screenshot_20190802-225008.png
 
Mkuu KIOO nisaidie kuna wimbo flan wa Ki hindi Instrumental yake ilitumika sana kwenye Kipindi cha Nyimbo za Kihindi cha usiku j pl RFA miaka ya 2007 kama soundtrack.......Jina siujui na msanii simfaham Mkuu ila ni zaidi ya Miaka 10 natafuta huo wimbo
 
naomba mwenye mkuki moyoni ya Afande sele atupie hapa
 
Back
Top Bottom