Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuRay c wimbo kwa pamoja go you tube
Uliwekwa ila si original version Bali ni rmx waloimba na dudu bayaNafikiri upo humu ulishawekwa
Namimi nahitaji huo wa haupele mpenzi remix. Pls kama uliupataWimbo wa salamu nimpe nani, chaupele mpenzi, hizo zote zimepigwa kama remix na bendi fulani nimesahau jina.
Asante nimeupata ila shida ipo kwenye ku upload c jui nifanyaje
Chief kama uliwahi kuipata hii naitaka.kuna nyimbo moja ya zilipendwa siikumbuki jina...ila inaimbwa mama nipe nauli nikamfute monica
Natafuta wimbo wa "chaupele mpenzi" remix. Wameimba bendi fulani kuna mdada na mkaka ila nimeukosa mtandaoni.
ziko version nyingi sana za Kesi ya Khanga (Monica) ziangalie hizi kwanza.Chief kama uliwahi kuipata hii naitaka.
Monica, dah kitambo sana!
Mkuu namie naomba wajifanya wajua