mnyaruu
Member
- Oct 4, 2017
- 94
- 72
Ninao mkuuWatu kibao... waimbaji nadhani ni wateule mwenye kuweza kuuleta please
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninao mkuuWatu kibao... waimbaji nadhani ni wateule mwenye kuweza kuuleta please
Wimbo Wa Xmass unaitwa "haya twendeni wote"Ungetaja jina la wimbo ingekua rahisi sababu nina nyimbo za Kwaya zaidi ya 2,000.
Wanaitwa KLEPTOMANIAX WIMBO UNAITWA SWING SWINGmwenye nyimbo yenye maneno haya"Nina Mademu wa kishua wana macho mbele na nyuma "
Nipm namba yako nikuunganishe group la nyimbo za kikatoliki utapata kila wimbo uutakao.
Nilishatangaza dau kwa atakae nipatia wimbo wa PESA uliimbwa na kwaya ya zamani kidogo ila shida ni kwamba nimeisahau jina ila KASHA LA KANDA LILIKUWA NA NOTI YA 500 YA ZAMANI.
UKIIPATA TU NJOO PM UPATE DAU LAKO.
TSH 10,000/-
Goite
Itakuwa kafa na wimbo wake jamaa, ngoja tumuite KIOO atusaidie aisee...!
MKUU TATIZO HAKUNA ANAYEJUA WASANII WA KENYA HUKU HASA WALE WALIOKUWA WANAPIGA HIP-HOP YA AKILI KAMA WAKINA KANTAI
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965