Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nilishatangaza dau kwa atakae nipatia wimbo wa PESA uliimbwa na kwaya ya zamani kidogo ila shida ni kwamba nimeisahau jina ila KASHA LA KANDA LILIKUWA NA NOTI YA 500 YA ZAMANI.

UKIIPATA TU NJOO PM UPATE DAU LAKO.
TSH 10,000/-

Goite
 
Ronald Rubinell - Lance ceron kutoka Album ya kokofiolo multicolor vol III huu unatumika kama soundtrack Kwenye kipindi cha Je wajua RFA kwa miaka mingi sasa. starboy
 
Inawezekana ninao. Ngoja nicheki library yangu. Shida nyimbo ziko nyingi sana
Nilishatangaza dau kwa atakae nipatia wimbo wa PESA uliimbwa na kwaya ya zamani kidogo ila shida ni kwamba nimeisahau jina ila KASHA LA KANDA LILIKUWA NA NOTI YA 500 YA ZAMANI.

UKIIPATA TU NJOO PM UPATE DAU LAKO.
TSH 10,000/-

Goite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU TATIZO HAKUNA ANAYEJUA WASANII WA KENYA HUKU HASA WALE WALIOKUWA WANAPIGA HIP-HOP YA AKILI KAMA WAKINA KANTAI

Itakuwa kafa na wimbo wake jamaa, ngoja tumuite KIOO atusaidie aisee...!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
MKUU TATIZO HAKUNA ANAYEJUA WASANII WA KENYA HUKU HASA WALE WALIOKUWA WANAPIGA HIP-HOP YA AKILI KAMA WAKINA KANTAI

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kwani humu JF hakuna wakenya aisee...!
 
Wimbo wenye maneno haya

"nataka kurudi kwetu nyumbani kwa mama,ae ae mama hayupo ameshakwenda tumebaki yatima,baba hayupo ameshakwenda tumebaki yatima"
Sikumbuki mtunzi
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom