Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nataka wimbo sitishiki chuchu sound
IMG_20191206_044933.jpg
 
Nilishatangaza dau kwa atakae nipatia wimbo wa PESA uliimbwa na kwaya ya zamani kidogo ila shida ni kwamba nimeisahau jina ila KASHA LA KANDA LILIKUWA NA NOTI YA 500 YA ZAMANI.


UKIIPATA TU NJOO PM UPATE DAU LAKO.
TSH 10,000/-

Goite

Sijui kama ndio huu!
 

Attachments

Mwenye wimbo Wa Kwaito zombo haudondoshe hapa wenye quality nzuri
 
Back
Top Bottom