Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Mkuu Kizaazaa ya Jos na Kitambo kidogo ya BDP tafadhali. Pia kuna moja inaitwa Bwege mtozeni ya Radical Kids bro. Thanks.
 
MSAADA TUTANI Kwa Yeyote mwenye hizi Ngoma.
1.Mr Paul - Wasiwasi
2.Cool James - Carolina
3.Mbetela Squad - Nagusa tu
4.Manzese Crew - Kwetu manzese
5.Parklane - Tabasamu
6.Mandojo & Domokaya ft J Nature - Wanga
7.Dr Karim - Dozi
8.Swahili by Nature ft Akili Tribe - Tumedata
10.Uswahilini Matola - Nimemfia
11.Uswahilini Matola - Nenda
12.Uswahili Matola - Siamini
13.Uswahilini Matola - Mazingira
14.Uswahilini Matola - Njaa
15.Soul N Faith - Niwe nawe
16.Jebby - Nitakuja
17.BDP - Utawamaliza wote
18.Lady Luh - Akija kwangu atadata
19.Wanyamwezi family - Mpenzi
20.John Mjema ft Solo,jos mtambo - Mikono hewani
21.Gorilla killers - Khamis
23.Q Chief - Watu na maisha yao
24.G Solo - Operation
25.Warogi wawili - Mpaka saa ngapi
26.Watulivu camp - Hali duniani
27.Mazee - Tunaparty
28.Mike T - Penzi ni nini ft Bin AM
29.Dudu Baya - Dua
30.Dudu Baya - Domo ft Phil 101(O ten)
31.Dudu baya - Kwako cha nini ft banyenda,phil 101
32.Dudu baya - Mpira pasi
33.Dudu baya - Shankupe
34.Dudu baya - Mashakubimbi
35.Dully sykes - Ulidhani siri ft Mike T
37.John woka & Ras lion - Moyoni mwangu
38.John woka & Ras lion - Mtukumbuke
39. MwanaFA - sala
40. Joint mob ft TID - Mc Shika Mic Anza wee.
41. Saigon ft Sos B - Chezea Msuli
42. Kwanza Unit - Just another groove
43. Hard Blasters - Matapeli
44. Da Young Mob - (Zote) Toka album yao ya Kwanza
45. Afro Reign - Rejuvenate
46. Fun with Sense - Kithatha
47. Hard Blasters - Mateso Matupu
48. Hard Blasters - Mambo ya Mjini
49. GK ft Pauline Zongo - Upanga East Coast west Coast
50. KNT Squad - Right Stuff
 

Attachments

Repost wakuu.. Kwema?
Huu wimbk bado nausaka.

Wimbo wa kwaya flani ya watoto wa Makete, ya kipindi cha miaka ya 2008 kurudi nyuma (Sina uhakika mwaka exactly).
Ilikuwa inawekwa sana na kituo cha ITV.

Baadhi ya maneno "tumekuwa walezi, badala ya kulelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wimbo wa quartier Latin academia sdf nauomba uliopo YouTube low qt na unascrachi.
 
Kuna "gospel" fulani walipiga wazungu na wakarekodia Sweden kama sijakosea.
"Eebwanaa umeinuliwaaa,katika kiti chako cha enzi. Utukufu heshima,vina wewe".
Na mwingine unaimbwa hivi,"ushindi kwa watuu,wa Mungu,ushindi kwa watuu,wa Mungu. Tunasonga mbelee,kwa nguvu za Mungu,hatuzuiliwi,tunaushindi"
Barikiwa
 
Kuna wimbo nautafuta sana wa Kmondo sound band unaitwa Neli umo ndani yupo Mangustino aliyeimba Njiwa msaada tafadhalini.
Cc: Flava90s
 
Back
Top Bottom