Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MSAADA TUTANI Kwa Yeyote mwenye hizi Ngoma.
1.Mr Paul - Wasiwasi
2.Cool James - Carolina
3.Mbetela Squad - Nagusa tu
4.Manzese Crew - Kwetu manzese
5.Parklane - Tabasamu
6.Mandojo & Domokaya ft J Nature - Wanga
7.Dr Karim - Dozi
8.Swahili by Nature ft Akili Tribe - Tumedata
10.Uswahilini Matola - Nimemfia
11.Uswahilini Matola - Nenda
12.Uswahili Matola - Siamini
13.Uswahilini Matola - Mazingira
14.Uswahilini Matola - Njaa
15.Soul N Faith - Niwe nawe
16.Jebby - Nitakuja
17.BDP - Utawamaliza wote
18.Lady Luh - Akija kwangu atadata
19.Wanyamwezi family - Mpenzi
20.John Mjema ft Solo,jos mtambo - Mikono hewani
21.Gorilla killers - Khamis
23.Q Chief - Watu na maisha yao
24.G Solo - Operation
25.Warogi wawili - Mpaka saa ngapi
26.Watulivu camp - Hali duniani
27.Mazee - Tunaparty
28.Mike T - Penzi ni nini ft Bin AM
29.Dudu Baya - Dua
30.Dudu Baya - Domo ft Phil 101(O ten)
31.Dudu baya - Kwako cha nini ft banyenda,phil 101
32.Dudu baya - Mpira pasi
33.Dudu baya - Shankupe
34.Dudu baya - Mashakubimbi
35.Dully sykes - Ulidhani siri ft Mike T
37.John woka & Ras lion - Moyoni mwangu
38.John woka & Ras lion - Mtukumbuke
39. MwanaFA - sala
40. Joint mob ft TID - Mc Shika Mic Anza wee.
41. Saigon ft Sos B - Chezea Msuli
42. Kwanza Unit - Just another groove
43. Hard Blasters - Matapeli
44. Da Young Mob - (Zote) Toka album yao ya Kwanza
45. Afro Reign - Rejuvenate
46. Fun with Sense - Kithatha
47. Hard Blasters - Mateso Matupu
48. Hard Blasters - Mambo ya Mjini
49. GK ft Pauline Zongo - Upanga East Coast west Coast
50. KNT Squad - Right Stuff
Hi inaitwa bwana nipe pesa .Ni twist iyoSiujui jina ila kaimba mdada nadhan ni mkenya kuna sehem anaimba watoto wa Nairobii..... Akasema fungeni milango anakujaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada wa wimbo wa Msondo Ngoma Music Band "Kwa Mjomba hakuna urithi" nimeutafuta bila mafanikioHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Khaaaa watu na viatu..ila wewe ni kirubasiHakuna nyimbo nayoitafutaga nikaikosa hadi wimbo wa mussa ninao.
September song Wa j.Coopers.... Atakaeupata please nampa dhawadiHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Nipe namba ya telegram/whatsapp nikubariki naoWimbo wa Mez B Unaitwa fimbo ya mbali