Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Salaam Wana Jf! Naomba Mnisaidie Jina La Wimbo Na Mwimbaji Alieimba Wimbo Japo Nilikua Bado Mdogo Sikuweza Kukariri Vizuri! Wimbo Upo Hivi
*maisha Yangu Bila Ya Weee
*nitakua Kifaranga Cha Kukuu
*mbele Yako Ewe Bwana Mwewee
*ntawaachia Hao Wenzanguuu
*wajaribu Kuishi Na Weee.

Nihayo Tu Nnayo Kumbuka, Kwenye Miaka Ya 99 Na 2000 Niliusikia Sana! Hivyo Waungwana Naomba Kujuzwa
Anaitwa V2 FT MZEE CHUCHU WIMBO UNAITWA NASONGA MBELE SAKUA KWENYE GOOGLE UTAUPATA
 
Jamani mwenye kujua sehem ambako unapatikana wimbo wa NE MO feat DULLY SYKES unaitwa vumilia.nimeutafuta kwenye mitandao mbalimbali hadi you tube sijauona.tafadhari naomba kwa yeyote mwenye wimbo huo.aweze kuuweka hapa.
 
Jina lá wimbo silijui wala Band iliyoimba nayo siijui ila mashairi yake yako.
KITENDAWILI NIPE MJI,NIKITATUE MPAKA MWANZA AH,! NIKALE SANGARA,MWANANGU WA KUMZAA MWENYEWE KANIGEUKA

Naomba msaada
Nalog off
 
Nyimbo flani aliimba mdada mmoja anaitwa KYDA

nyimbo yenyew inaitwa ALL I HAVE


Naitaka sana iyo nyimbo...
 
kuna nyimbo moja ya kitambo bongo ni hiphop corus yake tittle ni fanani wa uhakika.
anayeijua please
 
WIMBO WA BIZ MAN ISHARA YA UPENDO NIMEUPATA KWA KUSOTA SANA NA KWA KUUNUNUA ANAYEUTAKA TUTAFUTANE.
 
Back
Top Bottom